Msaada
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Tumia eneo la kutafuta juu ya ukurasa kutafuta video kwa neno au maneno maalum, kama vile "kujaribu kwa kutingisha" au "Chanjo ya HPV" au chagua mada kutoka kwenye orodha chini ya "Peruzi kwa mada" kwenye ukurasa wa mwanzo ili kuona video zote katika kategoria maalum.

Unaweza kutazama au kushiriki masomo ya msingi ya video kwa kutumia mtandao katika simu au WiFi kwa kutumia njia ya kupakua. Kwanza, bofya alama ya katika ukurasa wa kichezeshi cha video au kutoka kwenye ukurasa wowote ambapo video inapatikana. Kama haujaingia katika akaunti yako, utaombwa kuingia au kuunda akaunti.

Mara tu video itakapopakuliwa, unaweza kuitazama hata kama upo nje ya mtandao. Kumbuka kuwa video itapakuliwa tu pale utakapokuwa na WiFi au mtandao kwa njia yoyote nyingine.

Kwa nyongeza, programu ya Android ya Immunization Academy itakuruhusu kufikia viedo nje ya mtandao kupitia kifaa chako.

Ongeza video kwenye Upendazo ili kuweza kuzipata na kuzisambaza kirahisi. Bofya katika kichezeshi cha video au kutoka skrini yoyote ambayo video ipo. Angalia orodha kamili ya video zako kwa kuchagua “Video Zangu” kutoka kwenye menu ya kwenye sehemu ya juu ya skrini yako.

Pangilia video zako kwa kutumia njia ya orordha ya kutazama. Ongeza video kwenye orodha ya kutazama kwa kuchagua alama ya kujumlisha kutoka kwenye kichezeshi cha video kutoka kwenye skrini video ilipo. Unaweza kuongeza video katika orodha ya kutazama iliyopo au unda orodha ya kutazama mpya. Angalia orodha kamili ya video zako kwa kuchagua “Video Zangu” kutoka kwenye menu kuu kwenye sehemu ya kushoto juu ya skrini yako.

Zote zinakuwezesha kutafuta video kirahisi. Kipengele cha orordha ya kutazama kinakuwezesha kupangilia video kwa kuziongeza kwenye orodha. Kuipenda video ni mchakato wa hatua moja ambao unakuwezesha kuhifadhi video katika orodha isiyopangiliwa. Kuiongeza video kwenye orodha ya kutazama haisababishi kuhifadhiwa moja kwa moja kwenye video uzipendazo. Lakini, video inaweza kupendwa na kuwa katika orodha ya kutazama.

unaweza kuanzisha manukuu kwa kubofya alama ya manukuu wakati wa kutazama video. Kusitisha manukuu, bofya alama hiyo tena.

Kubadilisha video au manukuu kwenda lugha nyingine, nenda kwenye menyu ya lugha katika mwambaa wa juu na chagua lugha uipendayo.

Wasiliana Nasi

Kama una tatizo katika matumizi ya IA Watch ambalo halijaongelewa hapo juu, tafadhali tuma barua pepe kwenda [email protected].