Vaccine Safety
imeandaliwa na,
Alice Bumgarner (IA Admin), ndani ya United States
Jinsi ya Kutathmini Ustahilifu wa Mtoto kwa Chanjo
Jinsi ya Kutathmini Kama Mtoto Hatakiwi Kupata Chanjo
Jinsi ya Kuripoti AEFI
Njia mojawapo ya kuwakinga watoto dhidi ya magonjwa yanayoweza kuzuilika kwa chanjo ni kuhakikisha kuwa sindano yenyewe ni salama. Katika video hii, jifunze jinsi ya kuchoma sindano kwa usalama na bomba la AD.