Vaccine Safety
imeandaliwa na,
Alice Bumgarner (IA Admin), ndani ya United States
Jinsi ya Kuripoti AEFI
Jinsi ya Kuchoma Sindano kwa Kutumia Mabomba ya AD
Jinsi ya Kutathmini Ustahilifu wa Mtoto kwa Chanjo
Watoa huduma wengi wa afya hawapendi kumpa chanjo mtoto mchanga anayeumwa, lakini kuchelewesha chanjo kunawaweka katika hatari ya kupata magonjwa yanayoepukika kwa kuchanjwa pale wanapoweza kupata kinga kwa usalama. isipokuwa tu katika mazingira machache, watoto wachanga wanatakiwa wachanjwe kadiri iwezekanavyo.