Jinsi ya Kuweka Rekodi za Hifadhi ya Vipuri
 
Video Zinazofanana
    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kutatua Matatizo ya Vifaa vya Mnyororo Baridi

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Vichupa Vya Chanjo (VVM)

    Kupanga

    Kiashiria Mchakato ni Nini?

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Mambo ya Kufanya Kipindi Halijoto ya Jokofu la Chanjo Ikiwa Juu au Chini Zaidi

Rasilimali

Rekodi za shehena ya vipuri zinasaidia mameneja kuagiza tena vipuri kwa kiwango sahihi na kuwa na vipuri wanavyohitaji ili kuvifanya vifaa vya kutunza chanjo katika hali ya ubaridi kufanya kazi vizuri Jifunze jinsi ya kutunza rekodi za vipuri, ili uwe na vipuri na taarifa unazohitaji.