Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo
Kutumia Majokofu Yanayofunguliwa kwa Juu Ambayo Hayanavikapu
Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Vichupa Vya Chanjo (VVM)
Jinsi ya Kutumia Sera ya Kichupa cha Dozi Nyingi
Chanjo Zinapaswa Kuwa na Halijoto Ipi?
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
Kulinda chanjo , ni lazima zitunzwe katika viwango fulani vya nyuzi joto. Ndio maana mipango ya chanjo inategemea na uhakika wa Utunzaji Chanjo katika hali ya ubaridi.