Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kutatua Matatizo ya Vifaa vya Mnyororo Baridi
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kutumia Sera ya Kichupa cha Dozi Nyingi
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kuchoma Sindano kwa Kutumia Mabomba ya AD
Rasilimali
Baadhi ya chanjo hazihitaji kugandishwa Mara tu baada ya kuganda, hazitakiwi kutumika. Bahati nzuri ni kuwa, kuna njia ya kugundua ikiwa chanjo isiyotakiwa kuganda imeharibika kwa kuwa katika nyuzi joto chini ya sifuri: jaribio la kutikisa.