Jinsi ya Kufuatilia na Kurekodi Jotoridi za Jokofu
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kukaa na Watoto Kwa Ajili ya Kuchanjwa
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kuchanganya Chanjo na Bomba la Sindano ya RUP
Kupanga
Jinsi ya Kuandaa Orodha ya Vifaa
Rasilimali
Baadhi ya chanjo hazihitaji kugandishwa Mara tu baada ya kuganda, hazitakiwi kutumika. Bahati nzuri ni kuwa, kuna njia ya kugundua ikiwa chanjo isiyotakiwa kuganda imeharibika kwa kuwa katika nyuzi joto chini ya sifuri: jaribio la kutikisa.