Upangaji Sahihi wa Chanjo Ndani ya Jokofu
 
Video Zinazofanana
  Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

  Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo

  Utoaji wa Chanjo

  Jinsi ya Kutumia Kasha la Kuhifadhi Sindano

  Usimamizi wa Shehena

  Mnyororo Baridi wa Chanjo ni Nini?

  Usimamizi wa Shehena

  Namna ya Kutumia Majokofu ya Chanjo yenye vikapu Yanayofunguka kwa Juu

  Utoaji wa Chanjo

  Jinsi ya Kutumia Sera ya Kichupa cha Dozi Nyingi

Rasilimali

Friji za Chanjo zimetengenezwa kufanya chanjo kuwa kati ya nyuzi joto 2ºC hadi 8ºC, lakini hiyo haitoshi kupafanya ndani kuwa katika nyuzi joto za kiwango hiki. Chanjo ni lazima zipangwe ndani ya friji katika hali ambayo itahakikisha hazikutani na joto la kuziharibu au mazingira mengine haribifu.