Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Baadhi ya chanjo hazihitaji kugandishwa Mara tu baada ya kuganda, hazitakiwi kutumika. Bahati nzuri ni kuwa, kuna njia ya kugundua ikiwa chanjo isiyotakiwa kuganda imeharibika kwa kuwa katika nyuzi joto chini ya sifuri: jaribio la kutikisa.