Mnyororo Baridi wa Chanjo ni Nini?
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Kulinda chanjo , ni lazima zitunzwe katika viwango fulani vya nyuzi joto. Ndio maana mipango ya chanjo inategemea na uhakika wa Utunzaji Chanjo katika hali ya ubaridi.