Mafunzo ya video ya bure kwa ajili ya Wataalamu wa Chanjo

Tazama masoma mafupi ya video kuhusu mada za msingi kuhusu chanjo, ikiwemo utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi, utoaji chanjo, ufuatiliaji, na zaidi.

Jinsi wataalamu wa chanjo zaidi ya 60,000 wanavyotumia IA Watch:
Pata Majibu pale unapoyahitaji

Iwe unakokotoa kiwango cha upotevu au unafungasha kwa ajili ya kipindi cha chanjo, IA Watch inatoa mafunzo yanayohitajika kwa wakati husika ambayo yanaweza kupakuliwa na kutumika nje ya mtandao.

Jifunze Ujuzi Mpya na Ongeza Sifa Zako

Kila wakati unapotazama video na kujifunza ujuzi mpya, unajipatia pointi na hadhi kwenye tovuti. Jipatie shaba, silver, gold au platinum status in each of the topics.

Boresha Utendaji wa Timu Yako

Shiriki masomo mara moja na wengine kupitia WhatsApp au barua pepe. Tumia video wakati wa Usimamizi Saidizi au wakati wa kutoa mafunzo kazini. Masomo yote yanapatikana katika Kiingereza, Kifaransa, Hausa na Kiswahili.

Jisajili na IA Watch kupata vitu vyote hivi.
Jiandikishe sasa