Using data to reach more children
imeandaliwa na,
François Gasse, ndani ya Spain
Ni cha kufanya kuhusu matatizo ya utoaji chanjo kwa watu wengi zaidi? Jifunze jinsi ya kutumia ripoti ya kila mwezi ya chanjo kugundua maeneo hatarishi au maeneo ambayo kiwango cha chanjo ni hafifu. Tafuta mbinu na mambo ambayo yatasababisha kupanda kwa kiwango cha utoaji wa chanjo.