Vaccine Safety
imeandaliwa na,
Alice Bumgarner (IA Admin), ndani ya United States
Jinsi ya Kuchoma Sindano kwa Kutumia Mabomba ya AD
Jinsi ya Kutathmini Ustahilifu wa Mtoto kwa Chanjo
Jinsi ya Kutathmini Kama Mtoto Hatakiwi Kupata Chanjo
Fikira kuwa mama amemleta mtoto kwenye kituo chako cha afya. Mtoto alipokea chanjo siku iliyopita, na sasa ana uvimve katika eneo alilochanjwa. Baada ya kumuhudumia mtoto, ni muhimu kutoa ripoti ya tukio hili.