Jinsi ya Kutathmini Ubora wa Takwimu za Uchanjaji
Kukagua Ubora wa Ripoti za Chanjo za Mwezi
Jinsi ya Kukagua Takwimu za Walengwa
Ni Takwimu Gani Unapaswa Kuziangalia Kukagua Ubora?
VVMs zinawapa watoa huduma ya afya njia rahisi na ya haraka ya kugundua kama chanjo imekutana na joto la juu sana na kuwa na uwezekano wa kuharibika, na kama inahitaji kutupwa.