Kiashiria Mchakato ni Nini?
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
Jinsi ya Kufuatilia Waliohasi Chanjo
Jinsi ya Kubaini na Kuyapa Kipaumbele Matatizo ya Uchanjaji
Kuweka Suluhisho Kwenye Mpango Kazi wa Kituo cha Afya
IIP-Microplanning
Microplanning for reaching every community
Je, kliniki yako inakutana na tatizo la utumiaji? Tutatafakari baadhi ya matatizo yanayojitokeza kwa wingi yanayosababisha kiwango cha juu cha kuacha kupokea chanjo - na ufumbuzi wake.