Zana za Kufuatilia Takwimu za Vifaa vya Mnyororo Baridi
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Je vifaa vyako vya utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi vinaweka chanjo katika nyuzijoto sahihi. Je friji yako inaharibika mara kwa mara? Tumia ufuatiliaji wa data kujua ikiwa Vifaa vya Utunzaji Chanjo katika hali ya Ubaridi vinaleta shida katika bajeti na usambazaji chanjo wako.