Kiashiria Mchakato ni Nini?
Kuingiza Suluhisho Katika Mpango wa Utekelezaji wa Wilaya
Jinsi ya Kuandaa Orodha ya Vifaa
Kubaini Suluhisho ili Kushinda Vikwazo vya Matumizi
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
IIP-Microplanning
Microplanning for reaching every community
Kama unafanya kazi katika kituo cha afya, kazi yako ni kuchanja walengwa. Kutengeneza mpango wa kipindi kutakusaidia kuamua mara ngapi na wapi pa kutoa chanjo kwa wana jamii.