Kama unafanya kazi katika kituo cha afya, kazi yako ni kuchanja walengwa. Kutengeneza mpango wa kipindi kutakusaidia kuamua mara ngapi na wapi pa kutoa chanjo kwa wana jamii.
Hongera!
Umejipatia
1 credit
Ratibu Orodha Yangu ya Kutazama
Unda Orodha Mpya ya Kutazama
Sambaza: Jinsi ya Kuandaa Vipindi Maalum na Huduma za Mkoba