Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kukokotoa Kiwango cha Uchanjaji na Idadi ya Watoto Waliohasi Chanjo

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Jinsi ya Kuandaa Orodha ya Vifaa

    Kupanga

    Kuweka Suluhisho Kwenye Mpango Kazi wa Kituo cha Afya

    Ufuatiliaji

    Kutumia Takwimu ili Kuboresha Utendaji Kazi wa Mpango Wako

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo

Rasilimali

Unahitaji Ramani! Kuwa na ramani sahihi inayoenda na wakati kunaweza kukusaidia kupanga utoaji wa huduma za chanjo, kwa sababu itakuonyesha jamii zote unazozihudumia, watoto wachanga na waja wazito wangapi wapo katika kila jamii, wako mbali kiasi gani kutoka ulipo, na njia gani ya usafiri inahitajika kuwafikia.