Jinsi ya Kukokotoa Viwango vya Uharibifu wa Chanjo
 
Video Zinazofanana
  Ufuatiliaji

  Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa

  Ufuatiliaji

  Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kubaini Matatizo ya Kawaida ya Usimamizi wa Akiba

  Ufuatiliaji

  Unapaswa Kufuatilia Takwimu Gani za Chanjo Zilizopo?

  Ufuatiliaji

  Jinsi ya Kufuatilia Hifadhi ya Chanjo na Sindano Salama

  Ufuatiliaji

  Jinsi ya Kukamilisha Ripoti ya Akiba ya Mwezi

Rasilimali

Kuna baadhi ya viwango vya upotevu ambavyo haviwezi kuepukika. Kwa hiyo ni jinsi gani unaweza kuwa na hakika kuwa una kiasi sahihi cha chanjo, kuepuka kuishiwa chanjo au kuwa na chanjo nyingi kupita mahitaji. Jifunze jinsi ya kukokotoa mategemeo ya upotevu ili uweze kuagiza kiasi cha kutosha cha chanjo ili kuwa na kiasi cha kutosha kuchanja kila mtu katika walengwa wako.