Unafuatilia kwa Ubora Upi?
Kukagua Ubora wa Ripoti za Chanjo za Mwezi
Jinsi ya Kutathmini Ubora wa Takwimu za Uchanjaji
Jinsi ya Kukagua Takwimu za Walengwa
IIP-Monitoring and Surveillance
How to collect and report data for monitoring and surveillance
Si kila data ni sahihi au kamili. Video hii inajadili kwa nini unatakiwa ukague data zilizorekodiwa na kituo cha afya, data zipi za kuangalia kama ni za uhakika au la.