Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
Kiashiria Mchakato ni Nini?
Kubaini Suluhisho ili Kushinda Vikwazo vya Matumizi
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako
Jinsi ya Kuandaa Orodha ya Vifaa
IIP-Microplanning
Microplanning for reaching every community
Kama unafanya kazi katika kituo cha afya, kazi yako ni kuchanja walengwa. Kutengeneza mpango wa kipindi kutakusaidia kuamua mara ngapi na wapi pa kutoa chanjo kwa wana jamii.