Jinsi ya Kufuatilia na Kurekodi Jotoridi za Jokofu
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Pale chanjo inaposafirishwa au kuhifadhiwa, inapaswa kuwekwa katika jotoridi sahihi. Video hii inaonyesha jinsi ya kufuatilia na kuweka kumbukumbu ya jotoridi kwenye friji ya chanjo ili chanjo zisipoteze ubora na kutupwa.