IPC Standard Precautions During the COVID-19 Outbreak
Mawasiliano
Cha Kuzungumza na Walezi Wakati wa Chanjo Kutolewa
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kutumia Kasha la Kuhifadhi Sindano
Rasilimali
Kutoa chanjo ni utaratibu wa kawaida kwa wahudumu wa afya, lakini kwa watoto na walezi wao, inaweza kuwaogopesha. Kwa kufuata hatua chache, unaweza kufanya uchomaji sindano chini ya ngozi kuwa salama na mzuri.