Amua Ikiwa Vifaa vya Mnyororo Baridi Vinahitaji Matengenezo au Marekebisho
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Jifunze jinsi ya kuchambua data kugundua kama kuna matatizo katika vifaa vya kutunza chanjo katika hali ya ubaridi. Kudumisha vifaa vya kutunza chanjo katika hali ya ubaridi ni muhimu ili kuweka chanjo katika nyuzi joto sahihi na kuweza kupatikana kwa watu wanaokuja kuchanjwa.