Jinsi ya Kuandaa Vipindi Maalum na Huduma za Mkoba
 
Video Zinazofanana
    Kupanga

    Kiashiria Mchakato ni Nini?

    Kupanga

    Jinsi ya Kuandaa Orodha ya Vifaa

    Kupanga

    Jinsi ya Kuongoza Ziara ya Nyumbani

    Kupanga

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako

    Kupanga

    Kuweka Suluhisho Kwenye Mpango Kazi wa Kituo cha Afya

Rasilimali

Kama unafanya kazi katika kituo cha afya, kazi yako ni kuchanja walengwa. Kutengeneza mpango wa kipindi kutakusaidia kuamua mara ngapi na wapi pa kutoa chanjo kwa wana jamii.