Jinsi ya Kudumisha Mifumo ya Nishati ya Jua
Vifaa vya Mnyororo Baridi ni Vipi?
Namna ya Kutunza Majokofu ya Gesi
Mambo Yanayopaswa Kuzingatiwa na Wahudumu wa Afya ili Kudumisha Mnyororo Baridiwa Chanjo
Mambo ya Kuzingatia Jokofu la Chanjo Linapoharibika
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
Kama kituo chako kina friji inayotumia mafuta ya taa, ni muhimu kujua jinsi ya kuijaza mafuta na kuitunza, ili iweze kufanya kazi vizuri. Kam friji haifanyi kazi vizuri, chanjo zitakuwa hatarini.