Vifaa vya Mnyororo Baridi ni Vipi?
Mambo ya Kuzingatia Jokofu la Chanjo Linapoharibika
Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Vichupa Vya Chanjo (VVM)
Namna ya Kutunza Majokofu ya Gesi
Jinsi ya Kudumisha Mifumo ya Nishati ya Jua
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
Kama kituo chako kina friji inayotumia mafuta ya taa, ni muhimu kujua jinsi ya kuijaza mafuta na kuitunza, ili iweze kufanya kazi vizuri. Kam friji haifanyi kazi vizuri, chanjo zitakuwa hatarini.