Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV Vaccine)
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Katika video hii, jifunze kuwa chanjo ya HPV ni nini na ni kwa ajili ya nani. Pia utajifunza jinsi ya kutoa chanjo hii, kusimamia shenena ya chanjo, na kutengeneza ripoti za kila mwezi.