Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako
 
Video Zinazofanana
    Kupanga

    Kuingiza Suluhisho Katika Mpango wa Utekelezaji wa Wilaya

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Fomu ya Muoanisho

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Rejesta ya Chanjo

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kufuatilia Waliohasi Chanjo

Rasilimali

Ramani za Wilaya zina taarifa za msingi unazohitaji ili kupanga shghuli za kusaidia juhudi za uchanjaji katika wilaya yako. Jifunze kutengeneza ramani ya wilaya kufuatilia ukubwa eneo la utoaji wa chanjo na kujua kiasi cha amhitaji ya chanjo na vifaa.