Jinsi ya Kuchanganya Chanjo na Bomba la Sindano ya RUP
Video Zinazofanana
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kuchoma Sindano Ndani ya Tabaka la Ngozi
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kukaa na Watoto Kwa Ajili ya Kuchanjwa
Mawasiliano
Cha Kuzungumza na Walezi Wakati wa Chanjo Kutolewa
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kutathmini Kama Mtoto Hatakiwi Kupata Chanjo
Utoaji wa Chanjo
Jinsi ya Kutumia Sera ya Kichupa cha Dozi Nyingi
Rasilimali
Ni muhimu kujua jinsi ya kuchanganya chanjo kwa usalama na kwa usahihi. Sindano za RUP ndizo zinazopendekezwa katika mchakato huu, kwa sababu zinaweza kutumika mara moja tu.