Namna ya Kutumia Majokofu ya Chanjo yenye vikapu Yanayofunguka kwa Juu
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Haijalishi ni aina gani ya friji kituo chako kinatumia,ni muhimu kujua jinsi ya kupanga chanjo, vizimuaji, vyombo vya kubebea maji ndani ili viwe katika nyuzi joto sahihi.