Jinsi ya Kutathmini Ubora wa Takwimu za Uchanjaji
 
Video Zinazofanana
  Ufuatiliaji

  Ni Takwimu Gani Unapaswa Kuziangalia Kukagua Ubora?

  Ufuatiliaji

  Kukagua Ubora wa Ripoti za Chanjo za Mwezi

  Ufuatiliaji

  Unafuatilia kwa Ubora Upi?

  Ufuatiliaji

  Jinsi ya Kukagua Takwimu za Walengwa

Rasilimali

Kabla ya kuwaza kuwa kuna tatizo katika utoaji wa chanjo, kwanza angalia ubora wa data za utoaji chanjo Kama data zako kuhusu namba ya chanjo zilizotolewa ni ya uhakika, utaweza kuonekana mtiririko wa utoaji wa chanjo. Ukiwa na data nzuri, unaweza kufanya maamuzi bora kuhusu kipi cha kukizingatia na jinsi ya kuboresha utoaji wa chanjo kw watu wengi zaidi.