Jifunze wakati wowote, eneo lolote, na katika kifaa chochote.
Nakiri wazi kwamba ninajiamini zaidi kazini baada ya kutazama video za IA Watch.
Wataalamu wa EPI nchini Nigeria.
Nimepanua ujuzi wangu kuhusu mambo yanayohusu kingamaradhi na mikakati yake, na mara nyingi nimetumia video fupi ninapofundisha wafanyakazi wenzangu au kwenye mikutano.
Wataalamu wa EPI nchini Sierra Leone
Ninafurahishwa na IA Watch. Mambo muhimu ya EPI yanafafanuliwa kwa njia rahisi. Imenisaidia kuelewa mambo kwa njia rahisi
Wataalamu wa EPI nchini Jamhuri ya Kongo
Mafunzo kutoka kwa wataalamu wa afya waliobobea ili ujue jinsi ya kufanya kazi kwa usalama kipindi hiki cha COVID-19.
Jifunze ZaidiTuma ujumbe wa “jiunge” kupitia WhatsApp kwenda +255 765 578 712 itakayoongezwa kwenye orodha ya utangazaji ya IA Watch na pokea maboresho kwa wakati.
Jiunge Sasa