Mafunzo ya Video kwa Wataalamu wa Kingamaradhi

Jifunze wakati wowote, eneo lolote, na katika kifaa chochote.

  • Nakiri wazi kwamba ninajiamini zaidi kazini baada ya kutazama video za IA Watch.

    Wataalamu wa EPI nchini Nigeria.

  • Nimepanua ujuzi wangu kuhusu mambo yanayohusu kingamaradhi na mikakati yake, na mara nyingi nimetumia video fupi ninapofundisha wafanyakazi wenzangu au kwenye mikutano.

    Wataalamu wa EPI nchini Sierra Leone

  • Ninafurahishwa na IA Watch. Mambo muhimu ya EPI yanafafanuliwa kwa njia rahisi. Imenisaidia kuelewa mambo kwa njia rahisi

    Wataalamu wa EPI nchini Jamhuri ya Kongo

Rasilimali ya COVID-19

Mafunzo kutoka kwa wataalamu wa afya waliobobea ili ujue jinsi ya kufanya kazi kwa usalama kipindi hiki cha COVID-19.

Jifunze Zaidi
Join us on Facebook!

Follow Immunization Academy on Facebook to receive timely updates, member stories, and connect with others around the world.

Jiunge Sasa