DOWNLOAD THE IA WATCH APP

IN THE PLAY STORE NOW

Mafunzo ya Chanjo ya Haraka na yenye Tija

Jifunze wakati wowote, popote, na katika kifaa chochote pamoja na masomo mafupi ya video.

Inafanyaje Kazi
COVID-19 Resources

Guidance and training from global health experts for working safely during the COVID-19 pandemic.

Jifunze Zaidi

Duba Abin da Kwararrun Suka bada Shawara

Kutumia taarifa kuwafikia watoto zaidi

"Ikiwa hautumii taarifa kuongoza jitihada zako za kuboresha wingi wa watu wanaochanjwa, unakuwa unatawanya jitihada zako na rasilimali na inatia mashaka kama mambo haya yataimarika. Ili kuwafikia watoto zaidi, unahitaji kuelekeza, kuweka kipaumbele kwenye jitihada moja mpaka tatu mahususi za kimkakati ili kuhakikisha mpango kazi unatekelezwa. Video hizi zinaweza kukuongoza."

Angalia Orodha ya Kutazama
François Gasse
UNICEF
Angalia Orodha ya Kutazama
Video Maarufu
Usimamizi wa Shehena

Estimating Vaccine Needs by Session Size

Ufuatiliaji wa Ufikishaji Chanjo

Jinsi ya Kujaza Fomu ya Muoanisho

Ufuatiliaji

Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Vichupa Vya Chanjo (VVM)

Ufuatiliaji

Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo

Ufuatiliaji wa Shehena

Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa

Usimamizi Saidizi

Planning For Supportive Supervision

Ufuatiliaji wa Ufikishaji Chanjo

Zana za Ufuatiliaji Takwimu ya Utoaji Chanjo

Upelelezi

Planning an Outbreak Response

Kuchunguza Ubora wa Data

Unafuatilia kwa Ubora Upi?

Kugawa

Jinsi ya Kuchoma Sindano Ndani ya Tabaka la Ngozi