Jinsi ya Kuchoma Sindano kwa Kutumia Mabomba ya AD
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Njia mojawapo ya kuwakinga watoto dhidi ya magonjwa yanayoweza kuzuilika kwa chanjo ni kuhakikisha kuwa sindano yenyewe ni salama. Katika video hii, jifunze jinsi ya kuchoma sindano kwa usalama na bomba la AD.