Jinsi ya Kuchoma Sindano kwa Kutumia Mabomba ya AD
Upangaji Sahihi wa Chanjo Ndani ya Jokofu
Jinsi ya Kuchanganya Chanjo na Bomba la Sindano ya RUP
Jinsi ya Kufanya Kipimo Mtikiso cha Chanjo
Jinsi ya Kuchoma Sindano Ndani ya Tabaka la Ngozi
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
IIP-Managing an Immunization Session
The tasks a health worker needs to perform to ensure the quality of an immunization
Katika video hii tutapitia sera ya Kutumia Kichupa cha Dozi Nyingi, na hinsi sera hii inavyoathiri maamuzi kuhusu kama kutunza na wakati gani kutumia Kichupa cha Dozi Nyingi kilichofunguliwa.