Jinsi ya Kudumisha Mifumo ya Nishati ya Jua
Jinsi ya Kutunza Majokofu ya Mafuta ya Taa
Namna ya Kutunza Majokofu ya Gesi
Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Vichupa Vya Chanjo (VVM)
Vifaa vya Mnyororo Baridi ni Vipi?
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
Temperature monitoring chart
For monitoring and recording refrigerator temperatures every day, twice a day
Shehena ya chanjo yenye chanjo za mwezi mmoja inawasilishwa kwenye kituo chako cha afya kutoka stoo ya chanjo ya wilaya. Sasa ni juu yako kuhakikisha kuwa chanjo zinatunzwa katika nyuzi joto sahihi.