Jinsi ya Kufanya Hesabu ya Chanjo Zilizopo
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Completing a Stock Card and Summary Stock Card

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kufuatilia Hifadhi ya Chanjo na Sindano Salama

    Ufuatiliaji

    Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kubaini Matatizo ya Kawaida ya Usimamizi wa Akiba

    Ufuatiliaji

    Unapaswa Kufuatilia Takwimu Gani za Chanjo Zilizopo?

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa

Rasilimali

Hesabu ya chanjo zilizopo inakusaidia kuhakikisha kuwa kiasi cha chanjo katika kumbu kumbu ni sahihi - na kufanya marekebisho yoyote kwenye data zako. Jifunze nini cha kufanya pale kiasi cha chanjo katika kumbukumbu zako kinapokuwa hakiendani na kiasi cha chanjo katika makabati yako.