Jinsi ya Kufuatilia Hifadhi ya Chanjo na Sindano Salama
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kufanya Hesabu ya Chanjo Zilizopo

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kukamilisha Ripoti ya Akiba ya Mwezi

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi

    Ufuatiliaji

    Completing a Monthly Summary Report (without coverage rates)

    Ufuatiliaji

    Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kubaini Matatizo ya Kawaida ya Usimamizi wa Akiba

Rasilimali

Ufuatiliaji wa leja ya shehena utakusaidia kuzuia kuishiwa au kuwa na chanjo nyingi sana kuliko mahitaji. Jua jinsi ya kuweka kumbu kumbu za chanjo zinazoingia na kutoka katika wilaya yako au kitu cha afya. Jua kiwango chako cha chini kwa kila chanjo.