Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kukokotoa Viwango vya Uharibifu wa Chanjo

    Ufuatiliaji

    Unapaswa Kufuatilia Takwimu Gani za Chanjo Zilizopo?

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kukamilisha Ripoti ya Akiba ya Mwezi

    Ufuatiliaji

    Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kubaini Matatizo ya Kawaida ya Usimamizi wa Akiba

    Ufuatiliaji

    Completing a Monthly Summary Report (without coverage rates)

Rasilimali

Vocha za kuagiza na kutoa zinasafiri na chanjo au na vifaa salama vya sindano kuhakikisha kuwa kuna kumbukumbu ya kuzunguka kwake. f Ukiagiza au kutuma mahitaji, lazima utajua jinsi ya kujaza vocha kama unapokea mahitaji, lazima utajua jinsi ya kukagua na kupitisha vocha. Jifunze inavyokuwa na video hii!