Kiashiria Mchakato ni Nini?
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Fomu ya Muoanisho

    Kupanga

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako

    Kupanga

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo

    Kupanga

    Jinsi ya Kuandaa Vipindi Maalum na Huduma za Mkoba

Rasilimali

Viashiria mchakato vinatumika kupima mambo yanayoendelea kuhakikisha watoto wachanga nad waja wazito wote katika eneo lako la kazi, wilaya au mkoa wanachanjwa dhidi ya magonjwa yanayoepukika kwa chanjo. Jifunze jinsi ya kuweka kiashiria mchakato, kukifuatilia, na kuchukua hatua kuboresha kiwango cha utoaji chanjo.