Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo
Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi
Kutambua Suluhisho ili Kukabiliana na Vikwazo via Kufikika
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
Kubaini Suluhisho ili Kushinda Vikwazo vya Matumizi
IIP-Monitoring and Surveillance
How to collect and report data for monitoring and surveillance
Tally sheet
Used during each immunization session to keep count of how many vaccine doses are given.
Karatasi za Chanjo zilizotolewa zinasaidia kujua kiasi cha dozi za chanjo kilichotolewa katika kila kipindi cha uchanjaji. Katika video hii, jifunze hatua za kujaza karatasi za chanjo zilizotolewa.