Kutumia Takwimu ili Kuboresha Utendaji Kazi wa Mpango Wako
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako

    Usimamizi Saidizi

    Gathering Information During a Supervisory Visit

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Fomu ya Muoanisho

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Kiashiria Mchakato ni Nini?

    Usimamizi Saidizi

    What Is Supportive Supervision?

Rasilimali

Kama ni kazi yako kusimamia kiwango cha utoaji chanjo kwa ajili ya kituo cha afya, utahitaji kujua jinsi ya kutumia data kuchukua hatua. Kujua kile data inakueleza itakusaidia kuboresha mpango wako wa chanjo. Video hii itakusaidia kuja na ufumbuzi wa matatizo, kutekeleza ufumbuzi huo, kufuatilia unafanya vizuri kiasi gani katika utekelezaji, na kuboresha kiwango chako cha utoaji chanjo.