Kukagua Ubora wa Ripoti za Chanjo za Mwezi
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Kama meneja wa wilaya, utahitaji kuhakikisha ripoti za mwezi za uhakika, kwa wakati na kamili kutoka kila kituo chako cha afya. Jifunze ni kigezo gani cha kutumia kuchambua ripoti na kipi cha kufanya kama kuna matatizo.