Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kufuatilia Waliohasi Chanjo

    Ufuatiliaji

    Zana za Ufuatiliaji Takwimu ya Utoaji Chanjo

    Ufuatiliaji

    Kutumia Takwimu ili Kuboresha Utendaji Kazi wa Mpango Wako

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa

    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kukokotoa Viwango vya Uharibifu wa Chanjo

Rasilimali

Ngoja tuangalie ripoti ya mwezi ya chanjo na tuijaze pamoja. Data hii ni muhimu sana ili kujua kituo kipi cha afya, wilya, au mkoa unahitaji kuangaliwa kwa umakini.