Kuweka Suluhisho Kwenye Mpango Kazi wa Kituo cha Afya
 
Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako

    Ufuatiliaji

    Kubaini Suluhisho ili Kushinda Vikwazo vya Matumizi

    Mawasiliano

    Jinsi ya Kuongoza Ziara ya Nyumbani

    Ufuatiliaji

    Kutambua Suluhisho ili Kukabiliana na Vikwazo via Kufikika

    Kupanga

    Jinsi ya Kuandaa Vipindi Maalum na Huduma za Mkoba

Rasilimali

Mipango Mkakati inaweka kipaumbele kwenye hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kuboresha ukubwa wa eneo la utoaji wa chanjo na kukusaidia mikakati hiyo kuwa hatua thabiti. Jifunze jinsi ya kukisaidia kituo chako kuepukana na matatizo na kufikia malengo yake ya ukubwa wa eneo la uchanjaji.