Completing a Monthly Summary Report (without coverage rates)
Jinsi ya Kuchora na Kusoma Taarifa za Utendaji wa Chanjo
Jinsi ya Kukokotoa Kiwango cha Uchanjaji na Idadi ya Watoto Waliohasi Chanjo
Kutambua Suluhisho ili Kukabiliana na Vikwazo via Kufikika
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
Tally sheet
Used during each immunization session to keep count of how many vaccine doses are given.
Je kituo chako cha afya, wilaya, au mkoa wako unachanja kila mtu katika walengwa wako? Ukiwa na ufuatiliaji data utajua! Jifunze kuhusu ufuatiliaji data sasa hivi.