Jinsi ya Kutumia Kasha la Kuhifadhi Sindano
Jinsi ya Kutoa Chanjo ya Kumeza
Jinsi ya Kuchoma Sindano Chini ya Ngozi
Jinsi ya Kuchoma Sindano Ndani ya Tabaka la Ngozi
Jinsi ya Kuchoma Sindano ya Kwenye Msuli
IIP-Managing an Immunization Session
The tasks a health worker needs to perform to ensure the quality of an immunization
Jinsi unavyoshirikiana na walezi na watoto wao inaathiri wanavyojisikia kuhusu utoaji chanjo. Katika video hii tutaangalia mawasiliano mazuri yanatengenezwaje katika utoaji chanjo.